Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me nimeupload ila kila nikiingia kwenye account yangu inaniandikia bado sijaziuploadNimejaribu ku upload form na 2 na 5 kwenye account yangu ya HESLB nikirudi kuview form hazionekani. Ni wapi nakosea? Maana hizi siku za kufanya marekebisho naona zinakimbia balaa
Jaribu kuwasiliana naoNilianza na laptop ikazingua baadae nikajaribu kwenye simu ikazingua pia
Nenda internet cafe kwa wazoefuNilianza na laptop ikazingua baadae nikajaribu kwenye simu ikazingua pia
Punguza ukubwa wa file lakoNimejaribu ku upload form na 2 na 5 kwenye account yangu ya HESLB nikirudi kuview form hazionekani.
Ni wapi nakosea? Maana hizi siku za kufanya marekebisho naona zinakimbia balaa
Dirisha lishafungwa tangu september 30.Nimejaribu ku upload form na 2 na 5 kwenye account yangu ya HESLB nikirudi kuview form hazionekani.
Ni wapi nakosea? Maana hizi siku za kufanya marekebisho naona zinakimbia balaa