monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Baada ya kukutana na vidamu kwenye kuku wa KFC na bado bei kubwa mno nikaona msela sishindwi kitu nikaingia jikoni matokea hayo hapo mzigo upo safi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani jamaaUmejitahidi sana mkali hongera sana
Unanionea wivu man😜Kuku kama umempaka wali bokoboko kisha ukamchoma kwenye mafuta
Acha uzembe, chukua namba ya simu..maelekezo mengine yatafuataGeto lako ni wapi?
Umemwandalia nani?isije kuwa tu mpiga kura mtarajiwa wa sirikali ya kitaa?Baada ya kukutana na vidamu kwenye kuku wa KFC na bado bei kubwa mno nikaona msela sishindwi kitu nikaingia jikoni matokea hayo hapo mzigo upo safi kabisaView attachment 3129715View attachment 3129716