Nimejaribu kuwaza tu, sisi Wanaume tungekuwa na Ashki kwa 99%

Nimejaribu kuwaza tu, sisi Wanaume tungekuwa na Ashki kwa 99%

Bwana Bongo

Senior Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
146
Reaction score
212
Wanasayansi wanasema hashki ya mwanamke ni asilimia 99 kwa maana msisimuko wake katika kujamiana, hili halina pingamizi katika pande zote mbili kwa maana ya sayansi na vitabu vya dini.
UKIBISHA POLE..

sasa rudi kwa sisi akina abdala ismaili, ndo tumebakiziwa hii 1% ambayo ukijumlisha pale katika 99% za kike unapata 100%

Nimejaribu kuwaza tu, sisi ndo tungekuwa na hizo 99%
sijui ingekuwaje maana hii 1% nanga inapaaa😂
 
Hahahaha kwamba one asilimia tu lakini tupo moto balaa

Basi Mimi naongeza kwa kusema kupata msisimko wa hyo 99 ni mpaka siku hyo awe tayar na awe anakukubali
Utajua tu unakubalika this much kwa yeye mwenyewe kukusumbuasumbua kuanzisha vimada vya kichokozi na kujibebisha kila akuonapo ili tu aipate tena ile feeling.

Ila ukiona dalili hizo hazipo jua ni bora liende.
 
a9bc81f2-5179-4214-b2ba-1912e9b31b63.jpg
 
Ashki(nyege,hamu ya kufanya mapenzi)mwanamke kapewa asilimia 99(mwanamke anapata hamu Zaid kuliko mwanaume)na mwanaume kapewa asilimia moja
Jamaa anauliza hiz asilimia moja walizopewa wanaume ni chache lakini kichwa Cha chini ni balaa 😀 (hawana uvumilivu,hawatulii)wangekuwa wana hizo asilimia 99 kama walizopewa wanawake hali ingekuwaje..
Jibulangu:wangepewa hizo asilimia 99 wangebaka sana kuku,Bata,mbuzi na kondoo 😂😂
sato Hirosh
cocastic nyie vichwa vigumu sana🙁
 
walimu wao walipata shda😂 sanaa
 
Back
Top Bottom