Bwana Bongo
Senior Member
- Dec 12, 2021
- 146
- 212
hujaelewa nini?Hata sijaelewaa, nasubiri wengine wachangie, huenda nitaokota kitu.
Ukielewa na Mimi naomba unieleweshe mrembo.Hata sijaelewaa, nasubiri wengine wachangie, huenda nitaokota kitu.
Utajua tu unakubalika this much kwa yeye mwenyewe kukusumbuasumbua kuanzisha vimada vya kichokozi na kujibebisha kila akuonapo ili tu aipate tena ile feeling.Hahahaha kwamba one asilimia tu lakini tupo moto balaa
Basi Mimi naongeza kwa kusema kupata msisimko wa hyo 99 ni mpaka siku hyo awe tayar na awe anakukubali
Nakazia
Hii post yakohujaelewa nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usijarUkielewa na Mimi naomba unieleweshe mrembo.
mwalimu wako alipata shida kiufupi nyege za mwanamke ni 99% mwanaume 1%Hii post yako
Hata sijaelewaa, nasubiri wengine wachangie, huenda nitaokota kitu.
walimu wao walipata shda😂 sanaaAshki(nyege,hamu ya kufanya mapenzi)mwanamke kapewa asilimia 99(mwanamke anapata hamu Zaid kuliko mwanaume)na mwanaume kapewa asilimia moja
Jamaa anauliza hiz asilimia moja walizopewa wanaume ni chache lakini kichwa Cha chini ni balaa 😀 (hawana uvumilivu,hawatulii)wangekuwa wana hizo asilimia 99 kama walizopewa wanawake hali ingekuwaje..
Jibulangu:wangepewa hizo asilimia 99 wangebaka sana kuku,Bata,mbuzi na kondoo 😂😂
sato Hirosh
cocastic nyie vichwa vigumu sana🙁