Nimejaribu nimeshindwa, Sasa nimeamua kuoa!

Usijali mkuu!
 
Ungekuja Zenji pengine ungefanikiwa kwani huku hata kama muhindi atarejeshwa kwao basi utapanda gari kumfuata huko aliko (Makunduchi)
 
Hivi wewe kama unataka au umeoa nini huwa kinakuvuta kwa huyo mtu?
Nikijibu swali lako, hata kama familia itapata kipato bado nitakuwa naye.

kinachonivutia ni upendo tu na kkwangu upendo huwa hauna sababu kama ulivyosema wew
 
yaani wewe bara na pemba kote umekosa kipenda roho
all ze best Gazeti
 
Na ukishaoa, talaka iweke kwenye mfuko wa shati kabisa,,,,akizingua tu! anayo!!!!!!
kila la kheri mkuu!
 
hahahaa,pole!siku zote sio rahisi masikio ya binadamu kuzidi kichwa!karibu kwa weusi wenzetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…