Nimejenga nyumba katika eneo ambalo halijapimwa, je naweza kupata hati ya nyumba?

Joined
May 13, 2017
Posts
96
Reaction score
37
Nimejenga nyumba katika eneo ambalo halijapimwa na serikali, je naweza pata hati ya nyumba
 
soma sera ya waziri Lukuvi vizuri kisha nijibu kama huo uwanja umeununua mbele ya serikali ya mtaa au umerithi
 
soma sera ya waziri Lukuvi vizuri kisha nijibu kama huo uwanja umeununua mbele ya serikali ya mtaa au umerithi
Naipata wapi hiyo sera ya lukuvi ndugu maana hata me mdogo mdogo soon ntamaliza mjengo ila nina vibali vya serikali ya mtaa tu na kitambulisho cha umiliki WA eneo ambacho kinatunza kumbukumbu za wamiliki makazi na viwanja eneo husika.
 
Hati ya Nyumba haitolewi katika maeneo ambayo hayajapimwa!!!!
Kinachotolewa katika maeneo kama hayo ni leseni za makazi(residential licence)

Pia kama eneo lipo ndani ya Mji shauriana na majirani zako ili mpimiwe kupitia upimaji shirikishi gharama inashuka kidogo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…