Nimejichubua,je kuna dawa ya kurudisha ngozi ya zamani?

Walewale.kuna mwenzio juu nae anataka kuwa mweupe.fanya umshauri
 
ndugu hata ww hujui uendko, leo kapitiwa yeye nawe hujui utakavyoangukia kesho. 'maisha ni swali'
 
unataka kuwa mweupe? Ptuuu itakula kwako
 
Kumbe Boflo ni mwanamke.Kwanza weka picha ya sura yako.Pili pole sana, na asante kwa ushauri wako wa kina na darasa zuri sana na murua kwa wanamkorogo wote.Madhara ya Mkorogo ni makubwa sana,ukiacha kuwa mweupe then mwekundu alafu unakuwa mweusi kinacho fuata ni cancer.Dada pole sana,Muombe Mungu akusamehe na akuponye.Ukipata kaela nenda kwa TB Joshua kwa ushauri na maombezi zaidi.Usisahau kuweka picha.Hila pole sana.
 
Weupe kama wa Dinazarde au upi tudadifulie maana Boflo anaomba ushauri yameshamkuta huko texas sasa akija Bongo na mavumbi yote na jua sijuii atakuwaje.
 

unlucky
Wee mdada mbona unashingo ngumu kiasi hicho?Ushuhuda umeupata kwa mwanamke mwenzio hapo juu,lkn bado unashauku ya kutaka kumeza hayo mapembe ya ndovu.
KWELI LUCIFER AKIKUNG'ANG'ANIA ILI AKUPOTEZE/AKUMALIZE BASI UNAHITAJI MAOMBI YA NGUVU,ili kumshinda huyo ibilisi.
Mdada unlucky fikri kabla ya kufanya uamuzi,hebu chukulia mkasa ulompata mwanamke mwenzio hapo juu kama ndoo kitu ambacho kitakuja kukupata siku za usoni.Kwa sasa kiukweli lucifer unakutafuta sana na hatoacha kukufuatafuata mpaka utakapo achana na hayo mawazo,Ujuwe wewe unapotafuta ushauri kuhs kutumia/kutotumia hizo vidonge ujue unamuuliza shetani khs effect za hivyo vidonge,na shetani kamwe hawezi kukuambia ukweli,Atakufichaficha tuu kama unavyoodai ume google na hujaona madhara ya hizo dawa.
Cha kufanya wee ungewauliza Watumishi wa Mungu,na viongozi mbalimbali wa Dini watakupa ushauri mzuri tuu.

Na hata hivyo majina wakti mwingne yanachangia Shetani akufuatefuate majina kama ID yako na mengine yanayofanana na hayo kama Tabu,Mateso,Sikujuwa,Matatizo,Shida Maajabu n.k Shetani huwa hachezi mbali na majina hayo.
Na aliye kushauri ununue hizo dawa hakika hana nia njema na wewe au kama na yeye anatumia/ alishawahi kutumia basi ali/amepotea hajui alitendalo, mungu amsamehe Buree maana hajui ali tendalo/semalo.
Tena ningekuwa nae karibu,huyo mshauri wako ningemtandika fimbo 48.asbh 12 jioni 12,asbh tena 12 na jion 12.Mpuuzi sana huyo mtu.
Haya mdada Usije Sema huku shauriwa.

"Enjoy your Self"
 
Last edited by a moderator:

nan kakwambia weupe ni uzuri na lazma itakuua tu mana ulikuwa una mcorrect Mungu na uumbaji wake na inaonyesha ume be affected sana cha msing tubu kwa Mungu coz your in critical condition
 
Unajua huyu dada kaomba ushauri tu, ila mtu kama hauna hoja ni bora upite tu humu..

Mm ninachomshauri dada yetu ni kusafisha damu tu na kama issue ni pesa njoo Bongo utengeneze harambee mbona harusi watu wanachangia ije kuwa ugonjwa bana..

Mm mwenye ukiwasiliana vizuri nitachangia 50,000 sio ndogo kwa kuanzia dada, ukipata wa2 mia damu imesafishwa
 

Ni miaka 4 iliyopita, unafikiri hajapata suluhu tu?
 

naomba kuelimishwa damu inasafishwaje??
 
Weupe kama wa Dinazarde au upi tudadifulie maana Boflo anaomba ushauri yameshamkuta huko texas sasa akija Bongo na mavumbi yote na jua sijuii atakuwaje.

Chezeaa Dinazarde weyeee!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Unataka ushauri gani wakati ulikuwa kwa DR hapo Texas na kakushauri?
 
Ulitaka mwenyewe why saizi ukatee hio ni adhabu ya kuukana uhalisia wako. Naushukuru umepewe adhabu ndogo hio ungepewa uwe zeruzeru je.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…