Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Nimejifunza kwamba wale ambao hawakutafuti ukiwa kimya ndio ambao huwa hawa kumiss kabisa
Na hao ambao hawa kumiss huwa hawakujali pia
Maisha yana amua nani ataingia katika maisha yako lakini wewe binafsi utaamua nani aendelee kuwepo katika maisha yako
Ukweli huwa unaumiza mara moja ila uwongo unaumiza mara nyingi zaidi
Na wale ambao wana kuumiza kuna somo wanakufundisha
Wale ambao wanakukosoa wanakufanya uwe na hamu ya kupambana zaidi
Na wale wanaokuonea wivu wanakufanya ujisikie wewe ni muhimu zaidi
Ni hayo tu!