Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Utarogwa kijana fanya mambo yako. Mm binafsi ukinitafuta tafuta ndo nazidi kukukataa mana unajiweka karibu kujua mambo ambayo pengine hustahil kujua. So wasiokutafuta wanakunyima mbaazi, mashuzi kwako yatapunguaView attachment 3163104
Nimejifunza kwamba wale ambao hawakutafuti ukiwa kimya ndio ambao huwa hawa kumiss kabisa
Na hao ambao hawa kumiss huwa hawakujali pia
Maisha yana amua nani ataingia katika maisha yako lakini wewe binafsi utaamua nani aendelee kuwepo katika maisha yako
Ukweli huwa unaumiza mara moja ila uwongo unaumiza mara nyingi zaidi
Na wale ambao wana kuumiza kuna somo wanakufundisha
Wale ambao wanakukosoa wanakufanya uwe na hamu ya kupambana zaidi
Na wale wanaokuonea wivu wanakufanya ujisikie wewe ni muhimu zaidi
Ni hayo tu!
Au una mambo ya ajabu ajabu ndio maana😂😂Daaah wengine tunasingiziwa mambo ya ajbu ajabu wkuu
Mkuu mi sio mtu wa kula vibibi..Au una mambo ya ajabu ajabu ndio maana😂😂
Boss wangu kutoka kula.mashangazi sasa wamekupandisha cheo kikubwa namna hiyo😂😂Mkuu mi sio mtu wa kula vibibi..
Hii imeniuma aiseee
Nakuona baby wake Pearl Watts🌝Mkuu mi sio mtu wa kula vibibi..
Hii imeniuma aiseee
Daaah jamn hili jina ukitaja mi napagawa aiseeee daaah...Nakuona baby wake Pearl Watts🌝
Shukrani boss kwa story yako,kuna kitu umetufundisha hapa, kwamba wakati mwingine mabadiliko ni sisi wenyeweLazima tukubali kubadilika,na mabadiliko yatatoka kwetu wenyewe kama tutataka kweli mambo yawe tofauti na yalivyo tawala yoyote asipotokea wa kubadili uelekeo wote mtafanana.
Mimi miaka miwili nyuma niliwaza kuhusu hili,yaani ndani ya mji ninaoishi nina ndugu 17 lakini mara ya mwisho tulikutana 2014 kwenye msiba wa baba mdogo tukabadilishana namba za simu baada ya pale kimya hakuna hata aliyem-text mwenzake so nikajisemea tu jinsi ninavyosubiri mimi kupigiwa nao wanasubiri hivyo ngoja niwapigie mwenyewe,nikakuta na wengine namba walishafuta hivyo ikabidi nijitambulishe upya na ambao pia namba zao nilifuta nikazitafuta nikawapigia.
Kwa mwaka nimejitengea miezi sita,weekend moja naamua tu nipige simu kwa ndugu wote story mbili tatu halafu “bwana nilikuwa nakujulia hali na familia yako wasalimie sana”,ndugu akisikia hivyo hata ile furaha yake unaisikia ilivyotamalaki hata sasa wengine wameshaiga mtindo huu siyo ajabu kukuta simu inaita unakuta ni bro au binamu anapiga kukusalimia,mabadiliko yaanze na sisi tunaokereka.
Nimezipumzisha siku hiziDaaah jamn hili jina ukitaja mi napagawa aiseeee daaah...
Pearl watts kwann anapenda kuigiza kama shangingi hvi ahahaha aiseeee...
Mkuu unefatilia mizigo mipya kama blood sisters na oloture journey...
Humu pearl watts ana pigo zake hzo hatariii