Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Kuna kitu kimoja watanzania tunafeli ni Ili.
Unakuta una laptop au kompyuta ila ujajua zinakusaidia nini?.
Kwa Dunia ya Leo Kuna internet ila Kwa kwetu ni kama matumizi haya yamekuwa tofauti sana na mapokeo.
Mara ya kwanza sikuwa mpenzi wa mambo ya madini ila kutokana na kuishi nao na kuona changamoto wanazopitia ikabidi na Mimi niingie kusoma mwenyewe.
Nikaja kugundua mambo mengi kwenye GIS si tu uchimbaji mpaka kilimo,maeneo na mengine mengi tu.
Kwa sasa nimefikisha data za utafiti asilimia 35 ambazo zinanionesha sehemu za uchimbaji kupata madini na elimu hii nitawapa wachimbaji wadogo.