Ni kosa la jinai kwa loya lama wewe Ruttashobolwa kukosea jina la member maarufu na mkongwe kama Dena Amsi. Umepewa siku 3 kumtaka radhi DA.
Niombeeni ni matokeo ya Stress za wanaume nyie lakini nyie aaahhh
Nasikia kulala sababu ya dawa na sindano za kujaribu kushusha BP
Niombeeni wapendwa.
DA
Mr Rocky yupo na Kabakabana

Pole sana mpendwa Dena Amsi kwa yote yaliyokukuta...nakutumia dedication hii ikuliwaze na kukufariji popote ulipo...Get well soon my queen.
We kijana upo?
Nigawie basi kaujuzi ka kuweka nyimbo walau nami nimpostie!
Nipo mpendwa...come this way nikuelekeze.
Haya bana,
Nimeshacome sasa!
Sio huko bwana...I mean this way in my room...au unataka kila mtu asikie tunacho ongea?
Huachi tu kuringa au mpaka nikususie maujuzi yako?
BTW, at this night hours . . . . a lady in a man's room???
huh . . .!!
Even if it could be for a second . . . .no thank you!
Nina shida ya kufundishwa ila kwakuwa unaonekana hauko tayari,
Nami nasema Inshaallah!
Nitamuomba BAK aniprovidie madesa!
ha ha haaa!!! Unataka madesa uta-SUP shauri yako...
Buenas noches!
We baki na mauchoyo yako!
na wewe nawe...hujanyimwa unasema umenyimwa...je ukinyimwa utasemaje?
sina taarifa kama hiyo mezani kwangu