Nimejikuta BP iko juu mpaka kulazwa

Mungi unavyoshabikia kutaka kuvunja ndoa yangu na Dena Amsi
Wapi aise umeniona na Kabakabana mkuu
Filipo wivu tuu huo si useme unamtaka sweetlady ili yaishe na mkeo marejesho nae ajue kuwa unatembea nje ya ndoa
Dena Amsi pole sana aise naamini umeshapata nafuu now na ushajifunza jambo hapo
Pole sana achana na akina Mungi na Filipo wanakupa stress bure
 
Last edited by a moderator:
Mungi duh wewe naona una hamu sana ndoa yangu ivunjike kabisa
Mwache kwanza Dena Amsi apone bana hayo mengine tutayajadili kama kamati kuu ya CC
Maana hata Baba V hana taarifa na mabadiliko yoyote so tusimwamshe aliko lala

Afu nimekuona upo na FP mda huu huu............... mbona utamwua Dena Amsi kwa presha bana?
 
Last edited by a moderator:

:doh: yaan mpaka uliwekewa oksijeni kisa pressure ya mwanaume??????????? Pole sana "wanaume hawa" basi tu.......
 

pole sana dear......mimi ikinitokea hivyo....huwa siruhusu BP..Engen....Shell wala Oryx vinipate......ni kula bata kwa kwenda mbele na kumdharau tu ze maksimam.....tupa kule hiyo.......
 
Jamani mwanamme gani huyu anayekupa stress kiasi hiki mpaka unalazwa
Jesus nathubuti kusema hakufai na hakuhurumii..nilikuwa kama wewe zamani naumwa mpaka nahisi sasa nakata roho
Ila thanx god nimepata ujasiri hasa baada ya mtu mmoja kuwa ananikazania kuniambia hebu jifunze kujipenda wewe kwanza
pole mpenzi asikwalibie 2012
 
pole sana dear......mimi ikinitokea hivyo....huwa siruhusu BP..Engen....Shell wala Oryx vinipate......ni kula bata kwa kwenda mbele na kumdharau tu ze maksimam.....tupa kule hiyo.......


Preta kuna wakati inakuwa ngumu wengine hawana vifua vya kuyabeba
hahaha unaenda Bar unakunywa Tusker haishuki pole Dena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…