Nimejikuta Fala kwa kuagiza gear lever inayopatikana Tandale

Nimejikuta Fala kwa kuagiza gear lever inayopatikana Tandale

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Kwa ufupi ni kwamba nimeagiza gear lever EBay kwa pauni za kutosha tu kaa laki 2 hivi ... kumbe inapatikana Tandale kwa wana wa ndinga zilizopiga mzinga.

My Take

Utafiti ni muhimu sana ktk harakati za maisha. Tafiti kabla hujachukua maamuzi.
 
Cha msingi tafuta fundi ambaye mnaaminiana, fundi ambaye hata siku huna hela ama umekwama mbali anaweza kufunga safari na kutatua tatizo...tatizo wabongo tunataka tutatue matatizo huku tukikandamiza wanaotusaidia kutatua hayo matatizo
 
Ndio maisha.
Kwa ufupi ni kwamba nimeagiza gear lever EBay kwa pauni za kutosha tu kaa laki 2 hivi ... kumbe inapatikana Tandale kwa wana wa ndinga zilizopiga mzinga.

My Take

Utafiti ni muhimu sana ktk harakati za maisha. Tafiti kabla hujachukua maamuzi.
We learn from our mistakes
 
Watu huwa tunaagiza vitu ambavyo havipatikani au adimu sana kupatikana bongo.
Kabla ya kuagiza unachakalika kwanza ukifeli au ukiona vya Bongo ghali ndio unaingia Ebay,Amazon na Aliexpress
 
Kwa ufupi ni kwamba nimeagiza gear lever EBay kwa pauni za kutosha tu kaa laki 2 hivi ... kumbe inapatikana Tandale kwa wana wa ndinga zilizopiga mzinga.

My Take

Utafiti ni muhimu sana ktk harakati za maisha. Tafiti kabla hujachukua maamuzi.
Ya Tandale shilingi ngapi?
 
Pole sana, inawezekana ulijifanya mjuaji sana, mambo yako wakakuachia mwenyewe...
 
Mwaka 2008 wakati bitcoin inaanzishwa, ilijitokeza fursa ya kujipatia sarafu kwa kuchimba (mining) kupitia computer bure. Wachache waliamini wakachimba ila wengi walipuuzia kwa kuwa hazikuwa na thamani ya pesa (monetary value) kwa wakati huo. Wale waliochimba wamenufaika kwa kuuza sarafu walizochimba.

Miaka 14 baadaye imejitokeza tena fursa ya kujipatia coin za RENEC kwa kufanya mining.

1. Kujisajili na kuchimba ni bure.
2. Hakuna ulazima wa kumuunga mwenzako.
3. Coin ikizinduliwa waweza kutoa pesa kwa njia ya simu au benki.

Kama upo willing, nicheki DM kwa maelezo zaidi na jinsi ya kujiunga njoo DM ni buure bila hata 50

Pia waweza kutembelea ukurasa wa instagram Heisslyman Msaba
 
Back
Top Bottom