Mona_tz
Member
- May 3, 2020
- 6
- 7
Wakubwa, habari za kazi. Nimeona nilete kwenu tuweze kupena ushauri na elimu pia.
Bana, juzi kati kama wiki mbili nyuma, kwenye pita pita zangu nikaonana na mwanamke mkubwa kiumri, vijana tunaita mshangazi. Umri wake kama alivyonieleza ni kweli umeenda (miaka 49). Stori za hapa na pale, kijana wa watu nikapewa namba, kwa kawaida nikaanza bura bura zangu za kumsifia. Mwisho wa siku akaona kijana ndo uyu sasa. Siku kadhaa mbele, baada ya kuwa tunachati sana, tukapeana miadi ya kukutana ili tujuane vizuri. Bana, nikajiset vizuri nikaenda kuonana na mshangazi wangu maeneo fulani hivi. Mwisho wa siku kilichotokea, tulijikuta tumetamaniana kila mtu akatamani kuonja utamu wa mwenzake.
Kiukweli, mshangazi yuko vizuri kuanzia sura, tako, hata mwonekano wake pia. Tumetamaniana, ikabidi anipeleke kwake. Mimi mwenyewe sijui zilikua ni nyege wala sikuwaza anakaana nani, nilijipa imani tu. Kufika kwake, hakukuwa na stori nyingi zaidi ya kupeana burudani. Sasa kibaya ni kwamba, kwenye kupeana utamu wote tulijikuta tumesahau kutumia kondomu. Ko tulipeana ivo ivo nyama kwa nyama. Ko show yenyewe tuliifanya part 1 & 2 kwa maana mbele na nyuma.
Wakubwa, baada ya kutoka hapo nilianza kuwaza kwa nini nimelala na mshangazi bila kutumia kondomu. Isitoshe, wote hatujuani hali zetu kiafya. Ko moja kwa moja kesho yake asubuhi, nilitoka nikaelekea hospitali ya Magomeni. Ikabidi nimtafute daktari mmoja na kumwambia ili anipe dawa/vidonge vya kuzuia UKIMWI ndani ya masaa 72. Mpaka sasa niko kwenye dozi. Saa, nimetumia vidonge naona kabisa tunakoelekea vitanishinda. Jamani, hivi vidonge ni kiboko.
Nimeshakunywa vidonge 10, bado 18, ila ni kama nimekunywa vidonge 100. Natamani kujua ukweli kuhusu mshangazi kama yuko positive au negative, nisije kuwa nakunywa vidonge kumbe ni mzima. Mnisaidie jamani, nimwambieje ili nijue ukweli?