Huyu ana corona tena kali kabisa, anapaswa kuishia airport.[emoji124][emoji124][emoji124][emoji23][emoji23][emoji23]Mchezaji Star na mchechi wa Simba, Bernard Morrison @bm3gh anasema, anajilinda kabla ya kuambiwa ana Corona nchini Zambia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ndio avae barakoa mpaka kwenye macho? @bm3gh
Eeee! dunia ina watu bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Neno moja kwa @bm3gh
View attachment 2031287