Hatukuwa serious lakini..Tehtehteh......kachukulia serious bwana.
Naona nawewe umemind..... unaonaje ukaja nikakutuliza?Hatukuwa serious lakini..
Atusamehe bure tuu wenyewe ndo akili zetu zilivyo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona nawewe umemind..... unaonaje ukaja nikakutuliza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijamind wala, meogopa kumbe kachukia bana..
Njoo basi
Siwezi kumind leo weekend...Nikajua umemind eti siunajua sipendi mchezo kwenye kumbeleza.
Noted.
NamaliziaHujamaliza tuu na wewe
Hahaha.... hapo nimesoma vibaya au macho yangu?Siwezi kumind leo weekend...
Najua unabembeleza mpaka mtu anaweza toa kanyumba ka urithiii...
Huyo ulomtag ni nani eti..Huyo Noted
Fanya upesiNamalizia
Nipo mwisho mwisho huku
HahahahahaHahaha.... hapo nimesoma vibaya au macho yangu?
Umesema unatoa unyumba wa urithi au nyumba ya urithi...huo unyumba wa urithi vipi?
Huyo noted jina lako la kimahaba..usiniangushe bana.
Wakati huo mabaharia wameshakupiga mabao kibao kwenye ndoto. Kweli maisha yanaenda kasi.Aisee...!!
Siku nikija iweka wazi ID yangu fake ya Kike mtakuja kufa...
Ouuh...usihonge wanaume aseeh....watakuumiza..mwanaume anapewa unyumba si nyumba.Hahahahaha
Umesoma vibaya bana ni nyumba ya urithi
M/kiti hakuna nilichochukulia serious hapa bwaana!!Tehtehteh......kachukulia serious bwana.
Teh haya mama....mimi katibu bwana sio mwenyekiti.M/kiti hakuna nilichochukulia serious hapa bwaana!!
Mumie, it can takes a lot of energy kunifanya nichukie, nadhani ni mtu ninayeongoza kucheka, na Leo kuanzia asubuhi nimeshinda tu nacheka humu, amani ya Bwana iwe nanyi najua ni utani..!!Usichukie dear
Naomba utusamehe kama tumekukwaza, ni utani tuu kusogeza muda wala hakuna la zaidi dear!
Tusamehe tafadhali, halikuwa lengo letu kukukwaza dear!
Haha..!!Hatukuwa serious lakini..
Atusamehe bure tuu wenyewe ndo akili zetu zilivyo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ouuh...usihonge wanaume aseeh....watakuumiza..mwanaume anapewa unyumba si nyumba.
Nikasema unyumba siku hizi warithiwa nao.