[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nisiiache au tusiiache?Kabisa.
Usiiache maana ni njia sahihi kabisa ya kujua kikristo
Kwakweli nilifuata malezi yote bora.Wewe sijaona dalili za kukengeuka... ulifuata malezi bora kabisa.
Ukikengeuka ntakucharaza bakora makalioni
In shaa Allah.Inshaalah'. May Allah's blessings be upon us..!!
Aiseee TUSIACHE.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nisiiache au tusiiache?
Au ndio umeshajua ki white hautaki tena transilet?
Na akikosekana kabisa nakuoa mimi mwenyewe... sitakaki maujinga ya kusubiria maupepo ya kisulisuli...Kwakweli nilifuata malezi yote bora.
Na siwezi kukengeuka kabisa maana hata mume wa kunioa nasubiri wewe unichagulie. Sitaki papara kabisa.
Hivi hii kujimwambafai naiona sana inavuma. Maana yake ni nini?Aiseee TUSIACHE.
Ila ki-white muhimu sana japo wa-kujimwambafy anasema ni nyenyenyeneyee
Sawa babu ngoja niendelee kujitunza.Na akikosekana kabisa nakuoa mimi mwenyewe... sitakaki maujinga ya kusubiria maupepo ya kisulisuli...