Nimejikuta nampenda huyu mdada wa JF

Status
Not open for further replies.
Hivi huwa na jiuliza inawezekana vipi mtu kupenda id fake inayomilikiwa na mtu asiye mfahamu wala kumuona?
Vijana wengi hawapendi kufuata protakali za humu ndani. Kwanza kupenda sio kitu kibaya, lakini ili mtu apende basi anapaswa kupitia mambo kadhaa ili kukamilisha kile anacho kiamini
 
Madem wengi wamefunga PM zao.. So hizo protokali unazozimaanisha vijana wengi wanafeli..

So wanaamua kujilipua in open kama hivi.
 
Wadada kufunga PM zao ni jambo la utashi mkuu, lakini ikiwa kijana atajitahidi kumtengeneza yule ambae amebamba hisia zake sio kitu mbaya pia.
Ebu vijana watumie mbinu za kimedani kuliko kujilipua kama hivi na mwisho wanalipuka
 
Anamfikiaje sasa in privacy..!?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…