Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Jf inamambo mengi sana, tena yenye kufurahisha, kuburudisha na hata kusikitisha sana
Jamaani mumie, this is too huge for me!!Yaani huyo yuko poa sana.. hanaga shida na mtu kabisaa, mzamie piemu mkuu
Shikamoo bwana mganga..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]7800inamsubiri
Mambo ndio hayo sasa na mahari napokea mwenyewe.Hahah nipo serious hadi nimebeba na bahasha ya mahari mkononi
Kwa mapenzi haya soon nitavimba nianze kuringa bure..!!Hata mimi nampenda huyo dada
Naye anakupenda.!!Na mie nampenda.
Ni nani kwanza?
Yaani huyo yuko poa sana.. hanaga shida na mtu kabisaa, mzamie piemu mkuu
Hata mimi nampenda huyo dada
SweetieLee mambo , nimetokea kukupenda tu binti.Naye anakupenda.!!
Ni demu wako?Katongoze wa mtaani mkuu, achana na mademu za watu ohooooo!!!
Ni wako mkuu?Mkuu umechelewa mabaharia tushatia nanga.
Mtu huyo ni nani?Tayari umekwisha anza kutamani mke wa mtu!!, asalaleee!! 🙉🙉
I've see this movieWhy do fools fall in love?
Thats a Hollywood blockbuster movie tittle!
Hapo zamani za kale nilikupenda wee mtoto sanaMkuu,mwanamke kuja na ID ya kiume sio mbaya sana
Lakini wa kiume kujifanya wa kike ni dalili mbaya sana
Binafsi naombea usiwe na ID ya kike kama wewe ni wa kiume
Ni wako mkuu?