Nimejikuta nampenda huyu mdada wa JF

Status
Not open for further replies.
πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘πŸ½

Mkuu,mwanamke kuja na ID ya kiume sio mbaya sana
Lakini wa kiume kujifanya wa kike ni dalili mbaya sana

Binafsi naombea usiwe na ID ya kike kama wewe ni wa kiume
 

Angalia yasije yakakutokea haya kwenye hii video clip.

 
Ni mengi mno nimeyaona kwa huyu mdada baada ya kufanya assessment kwa kutumia Post zake. Nachelea kusema nimempenda huyu mdada nasubiri Go ahead yake tu nimfuate Pm kama hatojali.
Aisee mna vipaji sana kuyaona haya .Mm mbona siyaonagi au ndio nasomaga haraka haraka??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…