Nimejikuta napitiliza hadi ndani JF baada ya kugonga hodi sana.

Dejavu

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Posts
1,568
Reaction score
3,427
Nimeamua kuingia tu sababu nimegonga hodi sijaitikiwa na mtu..moderater , invisible, jamii forum wote wako kimya.

Nimeingia sebuleni hapa nimekuta soda nimeona niinywe tu hata sijui ni ya nani hii?

Nahisi yule anaejiitaga bujibuji bado yuko chooni anashusha mzigo.

Wengine sijui wako backyard... Jamaaaaaaani wenyewe nikaribisheni ngosha mfaransa.

Hodi hodi JF!
 
Mwenyeji huyu. Kaanza na uzi wa kwanza eti "Demu mzuri alijamba wakiwa stationery" halafu huu mwandiko naufananisha na mtu fulani hivi, ngoja niendelee kufuatilia threads zake nitapata jibu.
Huyu ni mzoefu kabisa hata mungu anajua
 
Nimeamua kuingia tu sababu nimegonga hodi sijaitikiwa na mtu..moderater , invisible, jamii forum wote wako kimya.

Nimeingia sebuleni hapa nimekuta soda nimeona niinywe tu hata sijui ni ya nani hii?

Nahisi yule anaejiitaga bujibuji bado yuko chooni anashusha mzigo.

Wengine sijui wako backyard... Jamaaaaaaani wenyewe nikaribisheni ngosha mfaransa.

Hodi hodi JF!
Same person with another new ID.
 
Mgeni gani una kelele hivi, halafu unajua majina ya watu humu
 
Wengi nilikuwa nawasoma offline nikiwa guest member. Nimekuwa guest member kwa mwaka mzima hivyo Namjua hadi moderator.
 
Back
Top Bottom