Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Alianza dada yangu wa kwaza kuzaliwa kunikopa pesa akakimbia nayo mitini nikanyamaza kimya akaja tena ndugu yangu mwingine kanikopa akakimbia miti.
Ndani ya uho mwezi nikapewa tenda ya kuvalisha watu wa mwenge katika halmashauri fulani nikaagiza vitenge kongo nikatapeliwa nikaingia kwenye kukopa tena mtu ili kukamilisha iyo tenda.
Baada ya muda fulani tena rafiki yangu wakaribu kanishauri juu ya kuwekeza mtandaoni paymara nikaingia kumbe nae ni tapel kanitapeli kama laki na nusu sijakaa sawa nakutana na rafiki yangu wa shule ya upili yaani sekondary sehemu nilio kuwa nafanya kwa mkataba baada ya muda kaja akaniambia kuna mchongo nikauelewa ule mchongo nikajua napiga pesa ndefu sana nikaingia king kumbe nikutapel taasisi bila kujua nikaingia mtegoni kuja kufumbua macho nakuja kugundua ni tapel wakat uho nishaliwa laki tatu ambayo ilikuwa hela ya chakula.
End of the day unajikuta una madeni mengi hujui pakuanzia tena unaomba msaada kwa ndugu ambao ulikuwa unawasaidia kipindi icho ulipo pata mirathi yako nao wanakukimbia Unabaki kujiuliza kwnini watu wakutapel hawana huruma mtu anakutapel af anakwambia nenda popote pale mwingin anakuambia karibu machungwa kila ukipiga namba hapokei.
Wekness kubwa nilio nayo kuamini mtu kirahisi mapambo ya maisha nimeanza tangu nipo chuon nilikuwa mtu wakutopenda kuomba msaada sana hasa kwandugu kutokana na kauli zao mpaka kufika hapa ni asilimia ndogo sana ndugu wametia mkono wao.
But sijari ila nawaza kuwa kwanini wanitapel wasiniombe.