Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,385
- 10,659
...huwa nikisoma na kufanya tafiti za wale magaidi wenye akili nyingi na wapangaji wa matukio magumu na kuyatekeleza nimejikuta kuvutiwa na uwezo huu wa hali ya juu. Mfano mtu anapanga tukio kwa miaka mitano na kulikamilisha bila kustukiwa na mamlaka za juu za kijasusi huwa navutiwa na kuona kuwa hawa watu wana extraordinary capacity, hata wakiuawa huwa sijisikii vizuri. I wish nguvu hizo za ajabu za bongo zao wangezielekeza ktk issues za maendeleo dunia ingekuwa mbali. Masuala kama haya yangepata suruhisho;
1. Binadamu kutembea juu ya maji kwa kujitegemea
2. Binadamu kuelea angani bila vifaa suppotive
3. Binadamu kupia ukutani bila kipingamizi
4. Binadamu kuivuta sauti ya mtu wa zamani mf Yesu na kuileta ktk uhalisia wake kwa muda huu ingewezekana
5. Binadamu kuumba kwa kutamka ingewezekana.
Kuwaua watu kama Osama, Mafia leaders, Ghadafi Zel kawi n.k ni wastage of unique gifted people in the world.