Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati mbaya tupo kwenye nchi ya wajinga na wasiojitambua elimu inayotolea na serikali ni ya kiwango cha chini mno wasomi wapo wengi ila hawajitambui..Aliyasema hayati JPM kwenye hotuba yake ya kwanza bungeni 2015.
Leo nimejikuta nayaamini haya maneno..
View attachment 2431360
Mama sijui unakwama wapi? Watanzania sio wajinga wanaona kinachoendelea shtuka mapema.
Aliyasema hayati JPM kwenye hotuba yake ya kwanza bungeni 2015.
Leo nimejikuta nayaamini haya maneno..
View attachment 2431360
Mama sijui unakwama wapi? Watanzania sio wajinga wanaona kinachoendelea shtuka mapema.
huyu mzee alikuwa jembe sana...basi tu,,,,,,,,,,mkono wa chuma ulimzidi!!Aliyasema hayati JPM kwenye hotuba yake ya kwanza bungeni 2015.
Leo nimejikuta nayaamini haya maneno..
View attachment 2431360
Mama sijui unakwama wapi? Watanzania sio wajinga wanaona kinachoendelea shtuka mapema.
Ohooo!!Samia ni kama kakabidhiwa jezi afu mchezo hauelewi anabutua butua tu.