Nimejipatia fursa kama unataka majina ya walioajiriwa tarehe 22 dec 2017 nakutumia kwa 1000 tu

Nimejipatia fursa kama unataka majina ya walioajiriwa tarehe 22 dec 2017 nakutumia kwa 1000 tu

comesucces

Senior Member
Joined
Feb 21, 2017
Posts
160
Reaction score
105
Kama unahtaji majina ya ajira mpya natuma kwa buku kwa njia ya whatsapp namba 0653573094 hii namba haipo whatsap piga tu


Ipo kwa mfumo wa pdf
 
Sasa MTU mpaka anamaliza diploma ashindwe kuangalia mwenyewe kwenye mtandao?
 
Mkuu izo ni nafasi za kazi, sio matokeo ya form 4, na kwajinsi smart zilivyo nyingi!!! Mungu akuongoze ktk fursa yako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila mmoja anajitahidi kupambana na hali yake kwa style tofauti tofauti.
 
Back
Top Bottom