Nimejiridhisha kwamba Mwakinyo ameshinda

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Baada ya kurudia kuangalia hizi highlights nimejiridhisha pasi na shaka kwamba Mwakinyo ameshinda, kapiga point nyingi kuliko mpinzani wake japo kwa jicho la mtu asiyejua sheria za ngumi na how to score points ni ngumu kumuaminisha hilo kutokana na style aliyoitumia Mwakinyo (defensive), hiyo ni style ambayo Mayweather alikuwa akipenda kuitumia pindi alipokutana na bondia anayeattack sana japo watazamaji wengi hatuipendi (inapoteza ladha ya pambano), ni kama kwenye mpira timu inapopaki basi na kusubiri ushindi wa kuvizia, lakini mwisho wa siku ushindi ni ushindi. Hongera Mwakinyo japo nilitegemea utafanya zaidi ya hapo, huyo uliyepigana naye sio bondia wa kiwango cha juu na hatambuliki kabisa kwenye boxing world, kule boxrec ni no192 kwenye uzito wako duniani[emoji3][emoji3] ila umepigana naye kwa uoga sana, vipi ukikutana na kina Jermell Charlo utavuka hata round?[emoji38][emoji38]
 
Hapo ulipoandika umetumia highlights kuchunguza ushindi wa Mwakinyo ndipo ulipoharibu kila kitu.

Highlights hizo zinatengenezwa tu kuvutia upande flani.

Ninakushauri kaangalie pambano lote full kisha rudi hapa tubishane point kwa point.

Kingine usimfananishe Floyd na Mwakinyo.

Floyd akikinga amekinga utahangaika ila hutopata nafasi ya ngumi zako kumfikia wakati Mwakinyo ngumi nyingi zilikuwa zinamfikia barabara.
 
Kweli, inawezekana hizo highlights ziko biased maana nilivyoangalia hizo highlights naona tofauti na nilivyoona jana live, labda ndio maana hawataki kuweka full fight
 
Wengi wanaosema Mwakinywo kapendelewa ni watu wasiojua kanuni za ndondi.
 
Matumla alikuwa na matatizo ya stamina, Mwakinyo ni mzuri ila sio kama wanavyotaka kutuaminisha, wanamuoverrate
Nilichogundua kwa Mwakinyo ni mvumilivu sana pia ana mazoezi ya kutosha.

Angekuwa bondia mwingine zile ngumi za mbavu angekuwa ameshakaa tayari .
 
Mwakinjo wenu huyoo bado saana, yaani afanye mazoezi kwanza, yaani kashindwa kumpiga huyo mzee wa kifilipino?
 
Yes ana mazoezi mazuri ya tumbo, japo huyo mfilipino ngumi zake hazina nguvu, akikutana na wapigaji kama GGG mbona anacheua
Hakika ngumi za miamba popote ikifika hata kama hakuna point unacheua ugali
 
Hapo ulipoandika umetumia highlights kuchunguza ushindi wa Mwakinyo ndipo ulipoharibu kila kitu.

Highlights hizo zinatengenezwa tu kuvutia upande flani.

Ninakushauri kaangalie pambano lote full kisha rudi hapa tubishane point kwa point.

Kingine usimfananishe Floyd na Mwakinyo.

Floyd akikinga amekinga utahangaika ila hutopata nafasi ya ngumi zako kumfikia wakati Mwakinyo ngumi nyingi zilikuwa zinamfikia barabara.
Mimi nimerudia pambano lote.... Ameshinda kweli..... Ngumi za uso zinapointi sana mkuu.... Yule jamaa alikuwa hakingi uso.... Alikuwa ana attack tu halafu ngumi zake nyingi tumboni na mikononi. .
 
Back
Top Bottom