Ninalazimika kuwasilisha hili kama Uzi. Pongezi kwenu wazaliwa wa miaka ya 90 wa pande za za huko dar.
Kwa hakika wiki 2 hizi shutuma dhidi yenu sasa nimezielewa.
Inawezekana vipi pande za mikoani huku kwamba kumbe umeme unaweza kurejeshwa baada ya kutokuwepo masaa 36 mfululizo bila umeme kuwepo?
Nimeyaona siku ya boxing day kumbe yale ya 0700 - 1900 kwa siku hadi siku ya Christmas yalikuwa cha mtoto!
Hongereni wanaume wa Dar kwa kwa kuwaweka wenye dhamana kujua wanao wajibu zaidi ya kulamba asali.
Kwa hakika 2023 kazi iendelee.