Nimejisikia Fahari kusalimiana na viongozi mbalimbali wa CHADEMA Mjini Bagamoyo Wakati natokea Kidomole shambani!

Kiukweli CHADEMA hii imenikumbusha ile CHADEMA ya akina Mzee Shanga 1993 Sema Hawa ni Vijana Watupu very strong

Nawatakia Kila la Kheri safari ni Hatua

Mlale Unono 😀
Uchaguzi watashiriki au wataususia?
 
Kiukweli CHADEMA hii imenikumbusha ile CHADEMA ya akina Mzee Shanga 1993 Sema Hawa ni Vijana Watupu very strong

Nawatakia Kila la Kheri safari ni Hatua

Mlale Unono 😀
We mzee unalala mapema sana. Huu muda watu wanaanza kukagua habar wewe ushaaga kulala.
 
Back
Top Bottom