johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uchaguzi watashiriki au wataususia?Kiukweli CHADEMA hii imenikumbusha ile CHADEMA ya akina Mzee Shanga 1993 Sema Hawa ni Vijana Watupu very strong
Nawatakia Kila la Kheri safari ni Hatua
Mlale Unono π
SwadaktaKiukweli CHADEMA hii imenikumbusha ile CHADEMA ya akina Mzee Shanga 1993 Sema Hawa ni Vijana Watupu very strong
Nawatakia Kila la Kheri safari ni Hatua
Mlale Unono π
Kwani lini walisusa? πΌUchaguzi watashiriki au wataususia?
We mzee unalala mapema sana. Huu muda watu wanaanza kukagua habar wewe ushaaga kulala.Kiukweli CHADEMA hii imenikumbusha ile CHADEMA ya akina Mzee Shanga 1993 Sema Hawa ni Vijana Watupu very strong
Nawatakia Kila la Kheri safari ni Hatua
Mlale Unono π
watashirikiUchaguzi watashiriki au wataususia?
Wamesema no reform no election. Wananchi wanasema" Elections despite no reforms."Kwani lini walisusa? πΌ
Umeandika kiinglishi cha kiislamu πWamesema no reform no election. Wananchi wanasema" Elections despite no reforms."