Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
38,378
Reaction score
56,047
Mambooozzz!!unajua katika maisha waweza pitia mambo mengi kutana na vingi...jf imekua sehemu ya maisha yangu mmepata marafiki humu,maadui humu n.k

Binadamu lazima awe na mapungufu yake kulingana na asili yake...kuna muda naweza kua nimemkosea either kwa kudhamiria or kutodhamiria kumkosea mtu au watu...kwa sababu ni binadamu..

Mimi nimelelewa mazingira ya kuwaomba watu msamaha awe mkubwa au mtoto mpk madenti nikiwakoseaga huwaga nawaombaga radhi kwa sababu naamini kuna KARMA...

Huwaga sioni aibu kuomba radhi kwa makosa yangu au kujishusha maisha yaendelee...huwaga sipendi kuishi na vinyongo,makwazo wala chuki na mtu....!

Kama nilivyosema awali humu jf kuna watu yaweza kua nimekwaruzana nao au maneno yangu yaliwakwaza mnoo mpk kunihukumu ndivyo sivyo..nawaomba radhi sanaa wewe unaenichukia Mimi sina shida na wewe moyo wangu mweupe kabisaa...huwaga siwezi kukaa na kinyongo na mtu Mimi!!nahitaji amani..

Jf imenikutanisha na watu mhimu mnoo nawapenda sana kina shunie,mzigua mama Sabrina ,binamu yangu heaven sent, espy,nalendwa ,Evelyn salt,sky,nifah,mumu,witnessj nk u guys nawaheshimu nawapenda pia sana tu!!hawa ni wachache ila mpo wemgi mnoooo...wapo pia washkaji zangu wa kiume siwataji kwa sababu za kiusalama zaidi ila mwajijua wenyewe[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] sitaki question marks!!miyee....!!!
Wengine pm tu hapo ila mmekua na ushauri mzuri kwangu mpk najihisi faraja kua karibu nanyi watu kama ninyi mhimu kuwapoteza kwangu ni dhambi sana...!!!

Maisha mafupi sana haya kuna Leo na kesho nawapenda,nawaheshimu nawajali,kwa yoyote niliyemkosea narudia tena I'm sorry I didn't mean to hurt u...!!Mimi nina dini naamini kuna kifo na kesho kwa Mungu kuna kujibu kila jambo baya na zuri unalotenda hapa ulimwenguni!!

Tuendelee kuchat,kukotiana,na vitu vingine!!!wewe mwenye shida na Mimi,miye sina shida na wewe,nna amani ndani ya moyo wangu!!

Muwe na j2 njema waislamu mswali wakristo muende kanisani!!!Mungu yupo(kwa siye wenye dini)usie na dini baki hvyo hvyoo...!!!
 

Umefanya vema sana kuomba msamaha kabla ya ile party yetu pendwa. Kitu muhimu iwe kweli umedhamiria kuomba msamaha na si kupretend. Samahani, Pole,Asante,Nashukuru ni maneno ya kawaida sana lakini yana impact kubwa sana kwa maisha ya kila siku ya binadamu. keep it up madame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…