Nimejisikia kuwaandikia waraka huu ...


Ndugu, maendeleo huanzia kwenye individual level. Ukibadilika wewe, ukambadilisha na mwenzako naye akambadilisha na mwingine mwisho wa siku wote tunabadilika kwa maslahi ya Taifa na vizazi vijavyo kwa chain hiyo hiyo. Hata wale walioningia Tahrir square walianzia kwenye individual level ...
 
ahsante Kipipi nitamfikia salam maana saa hizi kalala maana baada ya kupost uzi alirudi kwenye blanket,si unaona kamvua?

Mvua inanyesha??Inaonekana uko jiji la Manchester!
 
Hahahaa Bishanga bana!! Unadhani sikufahamu?? Wanchekesha.....
wanchekesha (source FF).
Kipipi nakuahidi mbele ya hadhara hii tukufu na mbele ya Babu DC na Pakajimmy,kwamba come 2012 nitareform,nakuahidi kwa dhati kabisa kuwa mahawara wangu wote nitawapiga chini ,nakuahidi kabisa kwa moyo mweupe kwamba nakwenda sasa hivi international motor mart kukuwekea order ya brand new Rav4,na ninahaidi sita kucheat.
baada ya kusema hayo napiga goti na kukuomba ki date cha x mass,twenzetu mombasa north beach,diani?
 
mkuu HP amkaaaaaa,kuna watu hapa wakiongozwa na Madam Kipipi wanachakachua uzi wako,njoo uwakemee!
Nalog off (source:washawasha).
 
Kabla ya kwenda huko,ule mshipa wa hasira lazima uwe umeuacha Muhimbili,KCMC au Bugando,yaani umefanyiwa upasuaji!

we acha Eiyer,mi presha huwa inapanda!
Yaani JLS naliogopa kama central.
 

Una wazimu?? Btw, whats Rav4? Unazidi kunichekesha!!!
 
mkuu HP amkaaaaaa,kuna watu hapa wakiongozwa na Madam Kipipi wanachakachua uzi wako,njoo uwakemee!
Nalog off (source:washawasha).

Aiseee, watu hawa sijui niwaandikie waraka wa aina gani! hata saa moja haijapita baada ya kuwaandikia barua hii wamesahau na kuanza kupanga inf .... Jamani, sijui wana mioyo ya aina gani!
Labda tumshirikishe Mama Mchungaji wa JF awafanyie maombi maalum!
 

Alaumiwe Bishanga na infii yake!
 
Miss Judith, yupo kweli? Kuna wana MMU wanahitaji spiritual healing ya mioyo yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…