Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Mmetoka wote chuo, halafu unataka ukute kijana uliyekuwa unadate naye chuoni awe ana kila kitu kama nyumba, gari na kazi nzuri, mbona wewe huna?
Kwani unataka kuolewa na baba yako? Angalieni Dream, Vision, ethics na discpline na mkaanze kupigana pamoja kujenga maisha yenu.
Hao ambao mnawaona na material achievement kuna wakati walikuwa hustlers na iliwahitaji muda ku overcome vitu hivi isipokuwa labda kwa baadhi ya family chache sana. Muulize mama yako kama alimkuta baba yako na kila kitu! Don't judge a man by the size of his wallet kama haufahamu ndoto na future yake anatamani aina gani ya maisha.
Kuna wakati gari unayoona ni new model leo baada ya miaka miwili inakuwa old model, na wewe uli fall in love kwa new model. Nyanyua antena ya Tafakari, ndio maana imeandikwa na wala msiudharau ule mwanzo mdogo.
Be humble, unyenyekevu sio utumwa, you can start from one bedroom halafu after sometimes mkawa Land Lords to many. Halafu kumbukeni hata mama yako alikuwa demu. Mkiwa serious mtasaidia kupunguza hata chawa mitaani, maana you will only fall in love with character and not power and money.