Nimejitibu U.T.I kwa bia tatu kila siku kwa wiki moja.

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
942
Reaction score
567
Wana Jf nimeona niwape ushuhuda baada ya kupona uti Kwa kunywa bia ya castle Kwa wiki kutwa Mara tatu.

Nilifanya kama utani hivi sasa mkojo mweupe sio njano tena nikaenda Pima hamna uti.Jaribu ulete mrejesho.
 
Mimi nilitumia maji ya madafu na maji ya miwa mara tatu kwa siku; dafu 2 ×3 na miwa 2x3 kwa wiki moja huku nikishushia na lita 6 za maji kwa siku, aisee wiki tu mkojo ukawa msafi kama crystal; kabla ya hapo nilishatumia kama aina tatu za antibiotic na hadi sindano za powersafe lakini dozi zote zilidunda, ilinitesa kama mwezi hivi.
 
Hii kidogo ina logic
 
Pole MKUU pia tujipongeze Kwa ubunifu[emoji28]
 
Back
Top Bottom