UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Mimi nilitumia maji ya madafu na maji ya miwa mara tatu kwa siku; dafu 2 ×3 na miwa 2x3 kwa wiki moja huku nikishushia na lita 6 za maji kwa siku, aisee wiki tu mkojo ukawa msafi kama crystal; kabla ya hapo nilishatumia kama aina tatu za antibiotic na hadi sindano za powersafe lakini dozi zote zilidunda, ilinitesa kama mwezi hivi.Wana Jf nimeona niwape ushuhuda baada ya kupona uti Kwa kunywa bia ya castle Kwa wiki kutwa Mara tatu.
Nilifanya kama utani hivi sasa mkojo mweupe sio njano tena nikaenda Pima hamna uti.Jaribu ulete mrejesho.
Hii kidogo ina logicMimi nilitumia maji ya madafu na maji ya miwa mara tatu kwa siku; dafu 2 ×3 na miwa 2x3 kwa wiki moja huku nikishushia na lita 6 za maji kwa siku, aisee wiki tu mkojo ukawa msafi kama crystal; kabla ya hapo nilishatumia kama aina tatu za antibiotic na hadi sindano za powersafe lakini dozi zote zilidunda, ilinitesa kama mwezi hivi.
Pole MKUU pia tujipongeze Kwa ubunifu[emoji28]Mimi nilitumia maji ya madafu na maji ya miwa mara tatu kwa siku; dafu 2 ×3 na miwa 2x3 kwa wiki moja huku nikishushia na lita 6 za maji kwa siku, aisee wiki tu mkojo ukawa msafi kama crystal; kabla ya hapo nilishatumia kama aina tatu za antibiotic na hadi sindano za powersafe lakini dozi zote zilidunda, ilinitesa kama mwezi hivi.
Wana Jf nimeona niwape ushuhuda baada ya kupona uti Kwa kunywa bia ya castle Kwa wiki kutwa Mara tatu.
Nilifanya kama utani hivi sasa mkojo mweupe sio njano tena nikaenda Pima hamna uti.Jaribu ulete mrejesho.
Haya baba mchungaji leo una pambio ganiDoesn't make sense.
Ras Jeff ni me au keHaya baba mchungaji leo una pambio gani
Mkuu mimi ni dume la nyaniRas Jeff ni me au ke
Nina make up tu kwa ajili yako.Haya baba mchungaji leo una pambio gani