kukumdogo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 2,871
- 2,762
Hivi nani hasa ni mzanzibari halisi!? Maana nimefatilia nimegundua wanaotaka muungano uvunjike ni wale wenye Asili ya uarabuni! Sasa je zanzibar ilikuwa ya waarabu!? Maana historia inasema wafanyabiashara toka Kigoma, Rukwa, Tabora na Uchagani ndo walioivumbua hicho kisiwa na kukaa wakitrade na wahindi kabla wareno kuja na waarabu kuwaondoa. Mimi nafikiri zanzibar ni Mali ya Tanganyika ndomana visiwa vyote vya bahari ya hindi historia yao inatokana na watu kutoka Tanganyika. Sasa kwanini watanzania tukubali kumrudisha mwarabu Atawale kile kisiwa!?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums