Na ndio maana haitotekea.zanzibar ni sehemu ya tanganyika katika kila namna,kijiografia na aina ya watu wanaokaa eneo hilo,sababu zozote za kuiachia zanzibar iondoke zitatosha kabisa kuivunja sio JYT pekee bali tanganyika pia achilia mbali kwamba hata kwa wapu.mbavu wachache wanaoona upo uwezekano wa hicho kitu kutokea,kilichofanya zanzibar ijirudishe nyumbani haraka mara tu baada ya utawala wa kiarabu kuondoshwa misingi yake imepanuka zaidi sasa.