MJUMBE WA AMANI
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 262
- 238
Heh! kwahiyo hao wa hivyo wanakuja kupakua news na kutimua...wahawana cha kushirikisha?Ni kweli kuwa mara nyingi members wanaojulikana ni walewale na ndio hasa huleta mada/threads za kujadili, ila jua tu kuwa kuna members wengine walishajiunga kupata habari za masuala mbalimbali but they are not active members, they only intend to acquire informations from this forum.
Mkuu tatizo siyo muda wa kujiunga,shida ni pale unakuta ID ya 2012 lakini imepost mara 20 tu.Hujawahi kuona hiyo?Mjumbe wa amani bhana, wewe mwenyewe una siku 21tu tangu uanze kuchangia hapa jukwaani.
Ndio hapo nikauliza je wale 350k ni kweli wapo hai? Kama mtu hai hachangii atatofautishwa vipi na mtu aliyeaga?Akifa hutomuona akichangia humu
Wengi huishia kusoma na kuingia mitini. Asante kwa utafiti wako.Mkuu tatizo siyo muda wa kujiunga,shida ni pale unakuta ID ya 2012 lakini imepost mara 20 tu.Hujawahi kuona hiyo?
certainly!!! they term jf as their source of news, hawataki kuchangia wala kupost chochote, wanakuja kuchota taarifa na kusepa, tena ukute wanafaham majina ya wachangiaji maarufu hapa jf.Heh! kwahiyo hao wa hivyo wanakuja kupakua news na kutimua...wahawana cha kushirikisha?
Lol! usiwaze hivyo kwa sasa, subiri hadi itokee.Kufa siyo issue kabisa mkuu ingawa ni lazima.mie nikifa mtapata habari kwakuwa kuna watu wengi nafahamiana nao hapa
Ha ha ha, sure that's it. Utamkuta Celeb ana followers 200k ila ana like 2000, ila jf ni tofauti na 'Gram mkuu.Instagram Ipo Hivi
Unafollowers 10k ila unapata like 200 comment Moja.. Followers wengine Washapoteza simu.. wamefariki... Au wapo ila hawatumii tena
Hii pia Ina reflect JF
Kweli mkuu tena mara kibao sana, ila viewers si pamoja na wale guest au?kuna wengine kazi yao kusoma tu mada ila hawachangii chochote ndio maana ukianzisha uzi utakuta unaviewer 2000 walioreply 20
Wapo waliofariki, wapo waliosahau code za account na pia wapo waliostaaf maana umri hauruhu kuendelea kuchangia humu. Hata ugumu wa maisha umewafanya watu walekeze jfNdio hapo nikauliza je wale 350k ni kweli wapo hai? Kama mtu hai hachangii atatofautishwa vipi na mtu aliyeaga?
Tobah! yaani ID moja inaweza kuwa na watumiaji zaidi ya mmoja? Kweli siasa ni maji taka.Wapo sana tu. Jukwaa kama la siasa imekuwa sehemu ya propaganda, vile viID unavyoviona mara kwa mara ni taasisi za propaganda hivyo wanashindana kupost na kuchafuana.
Ha ha ha, mbavu zangu mie.Wapo waliofariki, wapo waliosahau code za account na pia wapo waliostaaf maana umri hauruhu kuendelea kuchangia humu. Hata ugumu wa maisha umewafanya watu walekeze jf
yec ofcoz halafu vilevile humu kuna mambo ya multiple ID usikute JF hatufiki hata laki 2Kweli mkuu tena mara kibao sana, ila viewers si pamoja na wale guest au?
Sio lazima iwe hivyo, hata kama ni mtu mmoja lakini yuko na ajenda yake maalum na kuanzisha nyuzi ni sehemu ya hiyo ajenda.Tobah! yaani ID moja inaweza kuwa na watumiaji zaidi ya mmoja? Kweli siasa ni maji taka.