TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
"Paukwa Pakawa... Palitokea chenjagaaPaukwa pakawa
kama unayo wasaidieNi mtandao fulani wa watu wajinga wasiojielewa hata kidogo.
Kila mtu anakufuata inbox anakutongoza,
Yaani ni kero.
Nilidhani ya WamarekaniFacebook ya wasukuma na waha
Kwasisi tulio jiajiri Facebook ni sehemu muhimu sana coz iko na watu wa Kila aina na ndio platform ambayo ukipeleka ads zinaleta effect iliyokusudiwa.Ni mtandao fulani wa watu wajinga wasiojielewa hata kidogo.
Kila mtu anakufuata inbox anakutongoza,
Yaani ni kero.