nimejiunga leo naomba mnielekeze jinsi ya kupost topic ili nami nitume.

nimejiunga leo naomba mnielekeze jinsi ya kupost topic ili nami nitume.

da debora

Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
15
Reaction score
26
ningependa kuelekezwa jinsi ya kutuma post ya kutafuta mchumba na pia jinsi ya kutumia jamii forum
 
ningependa kuelekezwa jinsi ya kutuma post ya kutafuta mchumba na pia jinsi ya kutumia jamii forum

da debora karibu sana jamvini, ingia katika jukwaa la mahusiano, mapenzi na urafiki na huko fungua post mpya ya kutafuta mchumba.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha. Yaani umekuja jeiefu kusaka mchumba?
Karibu best, ila kuna mtu anaitwa Paw, akikutumia pm wakati unamjibu unicopy, ili nitakapokukata shingo niwe na ushahidi wangu kwa matumizi ya mahakamani.

Pili kuna mtu anaitwa Mtambuzi ni babangu, na Kaizer ni kakangu, these ar the important men in my life. ukiwagusa tu nna wewe.

Nshaweka alama hapooo!
 
duh King'asti apo umeshani:tape::tape:
 
Last edited by a moderator:
Karibu namimi nimejiunga leo lakni komaatu utafanikiwa mwenzio hapa natumia za kuzaliwa,baadhi ya mambo naya chatisha oh! mh! haya!
 
Nami ni mgeni. Hapa. Tuelekezeni jinsi ya kupost. Hii nime reply.

Natanguliza shukrani
 
Mimi pia ni mgeni mbona hamtuelekezi jinsi ya kuazisha thread maana hapo wamesema tu create new thread lakini ukishamaliza kucreate sioni sehemu ya kupost.msaada please.
 
Kwahiyo hamtaki kumueleza,maadmn nao hawajafafanua jinsi ya kupost kwahiyo inakua Haina maana ya kujiunga,yaani nijiunge kwa ajili ya kureply tu! Haiwezekani
 
Kwani hii poat yako ume post vipi mkuu,
 
Back
Top Bottom