blackmamba7
Member
- Jul 12, 2020
- 29
- 9
Habar Wana jf
Mimi n mgeni hapa jf,
Nahitaji ukaribisho wenu na guideline miiko ya wakuu humu, jf...
Maelekezo jinsi ya kuchangia hoja kuepuka kuzozana na kubehave pia ni vizur kwa wenye experiences zenu
Asanten