Nimejiunga leo

Nimefurahi kwakufanikiwa kujiunga nanyi ktk jukwaa hili ambalo nimefuatilia ktk ujumbe mbalimbali miaka 5 so namba kuwakilisha furaha nilio nayo amina
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Karibu, ila sioni hii id ikikaa muda mrefu. Sio mda mdau atabadili id huyu.

Haya karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…