Nimejiunga na familia ya JF

Nimejiunga na familia ya JF

Sadick H

New Member
Joined
Jan 16, 2019
Posts
2
Reaction score
4
Naitwa Sadick
Nipo Kigoma
Nimeipenda sana hii familia ya JF ndiyo maana Leo nimejiunga naombeni ushirikiano wetu ili tuweze kupeana maarifa
IMG-20200209-WA0089.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu Sana jf jisikie uko dunia yetu isikuwa na magari Wala majumba ya kutambiana humu
 
Elimu Elimu
Elimu Elimu
Tanzania tunahitaji elimu ya kujitambua aseh
Kabla ya kufanya kitu chochote hakikisha unakielewa ( unakitambua) hicho kitu usikurupuke tu
Waulize watu Jamii Forum ni nini?
Soma ufahamu jamii forum ni nini? Inafanya kazi vipi? Nikijiunga nitaitumiaje ?
Inafanya kazi vipi ?

Elimu Elimu Elimu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom