Nimejiunga na jf

venance H

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
41
Reaction score
24
Ndugu wanajf nawaomba mnipokee mimi ni mwanachama mpya humu jf, nimeamumua kujiunga ilie niweze kutoa dukuduku zangu, kero, na kuuliza maswali ambalimbali,
 
karibu ila umeingia eneo sio.ulitakiwa utume uzi wako kwenye jukwaa la utambulisho na wala sio huku elimu. wenzio tulijua sasa tunakwenda kushuka nondo kuingia eti ni utambulisho. omba mods wakuwekee jukwaa husika.
 
Karibu sana mkuu.Usisahau kusoma sheria na miongozo ya humu kuna kitu inaitwa BAN humu.:cheer2:
 
Karibu, ila uclete mauccm yako apa!
Radio imani wakisema jf ni mali ya chama fulani mnatoa povu, badilikeni acheni ubaguzi


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…