Nimejiunga rasmi jamiiforums,GUD AFTERNOON LADIES AND GENTLEMEN

salman

Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
47
Reaction score
32
Baada ya kusoma post tu kwa siku nyingi,leo nimeamua kujiunga rasmi ili niweze kutoa mchango wang ktk mambo mbalimbali.natarajia ushirikiano mzuri kwa members wote:heh:
 
Ungeanza kujitambulisha ili wachangiaji wenzako tukujuwe hasa msimamo wako. Karibu sana
 
Karibu sana

Baada ya kusoma post tu kwa siku nyingi,leo nimeamua kujiunga rasmi ili niweze kutoa mchango wang ktk mambo mbalimbali.natarajia ushirikiano mzuri kwa members wote:heh:
 
Baada ya kusoma post tu kwa siku nyingi,leo nimeamua kujiunga rasmi ili niweze kutoa mchango wang ktk mambo mbalimbali.natarajia ushirikiano mzuri kwa members wote:heh:

Ban inakutembelea
 
[h=2]Re: Nimejiunga rasmi jamiiforums,GUD AFTERNOON LADIES AND GENTLEMEN[/h]kuwa makini sana hapa si face book, tazama hapo katika red

Karibu ila notice that upo na GT hapa mambo ya facebook hayahusiki hapa na pia lete comment yako tukupime kama upo kwa ajili ya mapambano au una akili za kinepinepi...karibu.
 
Karibu sana Kwanza uwe mvumilivu, usije ukawa unajuta kwa kupost, humu ukipost vitu visivyo na mashiko watu wanakosoa ni balaa, mfano angalia hapo juu jamaa kesha kukosoa ulipoandika neno GUD yaani post ya kwanza tuu.
 
Baada ya kusoma post tu kwa siku nyingi,leo nimeamua kujiunga rasmi ili niweze kutoa mchango wang ktk mambo mbalimbali.natarajia ushirikiano mzuri kwa members wote:heh:

Aroo utakura virungu, nenda resepsheni kuree jamvi ra wageni
 
Karibu tupo wengi tayari kukukabili;
Naam kukukabuili kwa heri au shari.

Bazazi
 
Salman karibu sana JF, tunapenda sana wageni.

Kawaida ya humu jamvini ukipiga hodi unakaribishwa, ama baada ya kuingia tungefurahi sana kama utajitambulisha zaidi ya jina lako.
Humu tuko jinsi mbili, mimi yangu ni kama unavyoniona nimeificha kwenye taulo.
 
Baada ya kusoma post tu kwa siku nyingi,leo nimeamua kujiunga rasmi ili niweze kutoa mchango wang ktk mambo mbalimbali.natarajia ushirikiano mzuri kwa members wote:heh:

Karibu sana jamvini.
 
Back
Top Bottom