Baada ya kusoma post tu kwa siku nyingi,leo nimeamua kujiunga rasmi ili niweze kutoa mchango wang ktk mambo mbalimbali.natarajia ushirikiano mzuri kwa members wote:heh:

Nasikia unatokea mitaa ya hapo Lumbumba
Huo mtaa unapatikana wapi?Nasikia unatokea mitaa ya hapo Lumbumba
Lumumba pale Karibu na jengo la CCM DarHuo mtaa unapatikana wapi?
Ndio wapi!??