Labda inakutekenyaSijui kwanini hii okay yako inanichekesha
Sijui kwanini hii okay yako inanichekesha
Ushaugua chekelea wewe. Chezea kukaa single
Duh!Hahhahahah
Pole sana pambana na hali yako mama acha mwenzio abebishwe
Yani my dada hadi naona aibu kusema.labda nije huko sirini ndo nisemeTatizo gani kaka?
For Promotional Use Only. Strictly Not For Sale.Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Duh!