Nilikwambiaje kuhusu kuniita mkuu ?
kwamba???Mkuu we kila mwanamke humu ukimuona unachanganyikiwa wengine sisi shemale shauri yako
Unatunzaje utamu mwishowe grisi itakuwa nyingi sana, we mtunzie wk1 akikaribia kurudi
Hii comment yako naiweka kiporo.Mkuu we kila mwanamke humu ukimuona unachanganyikiwa wengine sisi shemale shauri yako
kwamba???
Hii comment yako naiweka kiporo.
Nafuata Dawa kwa Mshana Jr haiwezekani utunze utamu kwa kipindi kirefu hivyoHapana acha nimtunzie tunzie akirudi ajilie kwa raha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kupigia watu simuAnaweza akaamka achat
Na hii naitunza !Kwa nn sasa jamani boss
Nafuata Dawa kwa Mshana Jr haiwezekani utunze utamu kwa kipindi kirefu hivyo
Na hii naitunza !
Hii comment yako pia naitunza !Kwamba nina dushe pia kwahiyo awe makini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asichanganyikiwe na avatar za kike
Mpunga upo tatizo nasikitika tabia yako ya uaminifu uliokithiriAchana na dawa we tafuta hela mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Max mi binafsi namshukuru sana kwa JF hii aliyotuleteaKwamba nina dushe pia kwahiyo awe makini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asichanganyikiwe na avatar za kike
Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Itunze tu tena dushe ndio ipo active mkuuHii comment yako pia naitunza !