Ila haina msisimko mkuu inakua ya kuvutia muda tu
Usihofu ushamaliza kazi yako, wapo wanajiandaa.Sioni kabisa huo mpango kufanyika
HahahahahaaaaaaAisee nasikiaga nguvu ya buku, naweza jishindia millioni kumi. Je ngugu ya Hello Mzigua90 itanishindia moyo wako?[emoji57]
Sijui Kama ulishafatilia post zangu, mwenyewe nipo kwenye situation kama yako. Tofauti nina wadada kama wanne ila Sina mapenzi nao kabisa. Wewe Mzigua90 utakua the right selection Kama sio utakuwa number tano kwenye list yangu[emoji12]
Mzigua90 will you be my girlfriend, usual answer is always a yes. Unusual one, 'I can be your Jamii Forums girlfriend.' vyote poa.
Je shimo limetema nimeshinda BIKO?
-callmeGhost
Hili ni tangazo, haujatoa vigezo tufanye application za mitongozo?Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Miaka mitatu wanajitokeza sioni hata
Ngoja nilewe japo kidogo
Tafuta bwana haraka sana.Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.