Shunie taratibu...nimekukosa wewe siwezi kumfuata dada yako nahamia ukoo mwingine.
Kwanini shida wakati una shape na jobHahahahaaa. Haraka ndo shida sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio mana nasema wajaze wajazike waje pm hata kujibiwa hawatajibiwaHahahahahaaa. Umenikumbusha ujinga wangu
Jikaze.Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Kwanini shida wakati una shape na job
Mi sio muumini wa tantalila
Nikaombewe eeeh. Kuna siku alijua nimemblock bwana.
Sasa kama hatatujibu kwanini anatujazia seva?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio mana nasema wajaze wajazike waje pm hata kujibiwa hawatajibiwa
Kwanini ? Usije ukapaliwa aisee. Nabadilisha,nasema hivi "Wewe vumilia tu"Hahahahahaaaa. Hili neno linanifurahishaga
Hata simjuiKhaaaaa unamjua
Kweli nishachezeaga ban mwezi mzima ilinibidi tu niwe mpole [emoji22] [emoji22] [emoji22]Mi sio muumini wa tantalila
Ila daaah !Mfyuuuu. Usinipotezee wachumba we dada