Sio kwa ubayaJikaze.
Unaona mwenzako alivyofichua siri zako ?Mfyuuuu. Usinipotezee wachumba we dada
Mfyuuuu. Usinipotezee wachumba we dada
Moyo wako hautaki kupenda ?Moyo wangu ndo shida
Sasa kama hatatujibu kwanini anatujazia seva?
Hata simjui
Ila nina kipaji cha kuotea tu[emoji4]
Hahahahahaaa.. Labda kajisemea tu
Wapi sasa niende ndugu yangu?
Kama anatania nitajua tu kama ukweli au uongo !Anatania huyo usimsikilize
Njoo nikubebishe usisumbue watu hapa. Nitumie location pm nijeTulia wewe. Ndo maana ya Chit Chat alaaa
Mashemeji zako